AHADI MBALI MBALI ZA MUNGU JUU YA MAISHA YETU.
Neno la Mungu limepimwa na kuhakikishwa na Mungu, kwamba
linafaa kwa matumizi ya Binadamu. (Zab 12:6) Neno la Mungu li hai na lina Nguvu
ya kumshinda shetani (Ebr 4:12). Kuna umuhimu mkubwa wa
kutumia Neno la Mungu na ahadi za Mungu, wakati wa maombi. Kumbuka, Mungu
analiangalia Neno lake ili alitimize (Yer 1:12) Zifuatazo ni baadhi tu ya ahadi
mbalimbali za Mungu zilizopo katika Biblia Takatifu. Na wewe kama mwombaji,
unatakiwa kuzijua na kuzitumia ili kumkumbusha Mungu anachosema katika Neno
lake (Isaya 43:26) ili kusababisha mabadiliko mazuri yatokee katika ulimwengu
wa mwili kama tunavyoomba (Fil 4:6-7, Efe 6:18, Math 16:19,18).
1. Ahadi za
Mungu juu ya Hali ya Hatia na Kushitakiwa Moyoni
1Yohana
1:8,9,7; Isaya 1:18; 1Yohana 2:1; Warumi 8:34; Waebrania 10:19-22;
Waebrani 4:16; Waebrania 9:14; Waefeso 1:7; Yeremia 31:34;
Isaya 43:25; Zaburi 103:12; Isaya 55:7; 1Yohana 3:20; Yohana
3:17-18; 2Wakorintho 5:17; Isaya 43:18
2. Ahadi za
Mungu kuhusu juu Mamlaka aliyotupa sisi Wana wa Mungu
Danieli
7:13-14, 27; Waefeso 1:20-23; Waefeso 2:6; Mathayo 28:18;
Mathayo
16:18-19; 1Yohana 4:13,17; Yohana 14:12
3. Ahadi za
Mungu kumshinda shetani na nguvu zote za giza
Hesabu
23:23; Luka 10:19; Yeremia 1:9-10; Yeremia 51:20; Mathayo 18:18;
Marko
16:16-18; Yakobo 4:7 ; Mathayo 8:8; Yeremia 5:14; Yohana 14:12
4. Ahadi za
Mungu kuhusu Uponyaji wa magonjwa ya mwili
Zaburi
103:3; Mathayo 8:17; 1Petro 2:24; Kutoka 15:26; Kumbukumbu 7:15
Marko
16:16-18; Warumi 8:12; Yohana 14:12; Yakobo 5:14-15; Marko 6:13
Mathayo
8:8; 1Yohana 4:13,17
5. Ahadi za
Mungu kuhusu Ulinzi na Usalama wa Wana wa Mungu
Zaburi
121:5-8; Zaburi 91:10-12; Yohana 10:28; Isaya 54:14; Isaya 54:17;
Zaburi
34:7; Kumbukumbu 9:1-3; Zaburi 121:1-8; Walawi
26:6
6. Ahadi za
Mungu kuhusu Utajiri na Mafanikio wa Wana wa Mungu
3Yohana
1:2; 2Timotheo 2:7; Kumbukumbu 28:1-13; Zaburi 1:1-3; Yoshua 1:7-8
2Wakorintho
8:9; 2Wakorintho 9:11; Wafilipi 4:19; Kumbukumbu 15:4; Isaya 45:1-3
Malaki
3:10-12; Warumi 10:12
7. Ahadi za
Mungu kuhusu Akili njema, maarifa na busara
2Timotheo
2:7; Wakolosai 2:2-3; Zaburi 111:10; Kumbukumbu 4:5-8;
Kumbukumbu 28:13;
Waefeso 1:18
8. Ahadi za
Mungu kuhusu Watoto na Familia
Yeremia
9:17; Isaya 54:13; Kumbukumbu 28:4; Matendo 16:31; Mathayo 16:18-19
9. Ahadi za
Mungu kuhusu Furaha, Faraja na Amani
Wafilipi
4:6-7; Wakolosai 3:15; Isaya 55:12; Isaya 9:6; Kutoka 33:6; Zaburi 16:11
10. Ahadi za
Mungu juu ya maonezi kutoka kwa adui zako
Isaya
54:14-15; Isaya 54:17; Yeremia 1:19; Zaburi 118:12; Isaya 49:26;
Warumi
8:31; Waebrania 13:6; Isaya 41:11; Kutoka 14:14; Kumbukumbu 31:6
Kutoka
23:22; Danieli 6:22;
11. Ahadi za Mungu juu ya hali ya Uchovu – Unapojisikia Kuishiwa Nguvu
Luka
24:49, Isaya 40:29,31; Matendo 1:8, Matendo 2:1-4, Matendo 4:31
Waefeso
3:16, 1Petro 4:11, Warumi 6:10, Wafilipi 4:13, Wakolosai 1:11,29
12. Ahadi za Mungu kuhusu kupata kibali kwa watu (The
Favour of the Lord).
Isaya 66:12; Kumbukumbu 6:10-11; Kumbukumbu 8:6-12,
Warumi 8:33
Barikiwa,napenda
JibuFutaHakika Ni masomo mazuri sana, ikiwapendeza mkiwa mnanitumia katika barua pepe yangu
JibuFutaSina lugha ya kumpendeza Mungu kwaajili ya masomo mazuri na yenye kutia nguvu na tumaini jipya kwa jinsi Hii , Mungu akuinue sana mtumishi, kuwa makini sana na adui, Amen 🙏...
JibuFutaMungu aibariki huduma yako
JibuFuta