Wakristo wengi ni wepesi wa kwenda
mbele za Mungu kupeleka Maombi, Dua na Sala zao kwa BWANA, ila si wepesi wa
kupokea toka kwa Mungu.
Wanaamini Mungu anayakubali na kuyapokea maombi yao, sala na dua ila hawana
UHAKIKA KAMA MUNGU AMEJIBU AU LA! Wengi wanaishia kubahatisha…Ni kama
wanajaribu labda uenda BWANA YESU atawapa kile walichoomba.
Ila hili si tatizo la kizazi hiki cha WAAMINI, Lipo tangu zamani kabisa…leo
ninayo mifano miwili…ebu jifunze pamoja nami;
1.ZEKARIA
BABA YAKE YOHANA MBATIZAJI
Huyu alikuwa KUHANI (Mtumishi wa
Madhabahuni) kama mimi, ambaye alikuwa na uhakika na NGUVU NA UWEZA wa Mungu
katika kujibu na kushughulikia mahitaji na haja za watoto wake! Maana kila mara
alikwenda PATAKATIFU PA PATAKATIFU kupeleka haja, mahitaji na maombi ya Watu wa
Israel (Luka 1:5)
Kwa hiyo tangu ujana wake alikwisha dhibitisha ya kuwa Mungu yu hai na ni halisi na anajibu maombi…Hakuwa mgeni kuhusu tabia ya Mungu kujibu maombi.
Lakini cha ajabu, kuna wakati yeye mwenyewe aliwahi kuomba kwa Mungu ili ampe mtoto, maana mkewe alikuwa tasa (Luka 1:6) lakini Mungu alipoleta jibu kupitia kinywa cha malaika Gabrieli, Mzee Zekaria alianza KUUFUTA MUUJIZA WAKE…Hata ikambidi Malaika Gabriel amfunge mdomo [awe bubu kwa muda wote wa mimba ya Yohana Mbatizaji] ili asije akaufuta ule Muujiza (Soma Luka sura ya kwanza utagundua jambo hili, na utapata ufunuo huu)
Kama alivyofanya Zekaria, wengi wetu pia tuna tatizo la kuibatilisha miujiza yetu…Mungu anapotuma majibu ya maombi yetu, anatukuta tukiwa busy na KUTOAMINI kwingi mioyoni mwetu na MANENO YALIYO KINYUME NA KILE TULICHOOMBA NA KUUBATILISHA MUUJIZA HUSIKA…Kwa Zekaria alipata neema ya kufungwa kinywa ili muujiza ukae, wewe unaye Roho Mtakatifu na Neno la Mungu…Umalizapo kuomba, usiruhusu Maneno na mawazo yaliyo kinyume na Ulichokiri wakati wa maombi mbele za BWANA!
TUMBO LA MTU HUSHIBA MATUNDA YA MIDOMO YAKE (Mithali 18:20-21)
TUNZA MUUJIZA WAKO MARA BAADA YA MAOMBI USIRUHUSU MANENO YAKO YANAYOANGALIA KILE KILICHOKUZUNGUKA KUHARIBU MUUJIZA WAKO…Kumbuka, “Tunaenenda kwa Imani na si kwa kuona” (2Kor 5:7)!

MITUME;
PETRO ALIPOFUNGWA
Ukisoma Matendo 12 yote, utaona
tukio hili…
Kuna wakati Mfalme Herode alimuua Yakobo, na kisha akamweka Petro Gerezani.
Na Biblia inasema KANISA likamwomba Mungu kwa ajili yake (Matendo 12:5)
Kumbuka: Hawa walikuwa Mitume, ambao Mungu aliwatumia kutenda Ishara, maajabu na Miujiza Mikubwa. Na hapa walipatana ya kuwa watakesha usiku kucha wakimwomba Mungu ili amtoe Petro gerezani naye asiuwawe kama Yakobo.
Biblia inasema Mungu aliyasikia maombi yao, na usiku wa manane, Mungu alimtuma Malaika wake akaenda mle gerezani akamtoa Petro na kumpeleka hadi pale wale Mitume [kanisa] WALIPOKUWA WAKIENDELEA KUOMBA…
Kijakazi akasikia mlango ukigongwa, akaenda kusikiliza ni nani anayegonga…alipofika na kugundua kuwa ni Petro, alirudi bila kumfungulia mlango, akawanyamazisha wale WAOMBAJI na kuwaambia Petro yuko pale nje anagonga…KWA LUGHA NYINGINE ALIKUWA ANAWAAMBIA, “ACHENI KUOMBA, MAOMBI YAMEJIBIWAAAA, YESU AMETENDA…”
Cha kushangaza, badala ya wale ndugu kuungana na huyu kijakazi kumshukuru na kumtukuza Mungu kwa kujibu maombi yao, wao walimgeukia kwa pamoja na wakamwambia, “WEWE VIPI? UNA WAZIMU NINI? PETRO ANAGONGA? HAIWEZEKANI? ACHA TUOMBE HADI ASUBUHI, MUNGU ATATENDA…UMETUKATISHA MAOMBI YETU…UMEUKATA UWEPO WA MUNGU, TENA SIKU NYINGINE USIRUDIE…” (Hapa nimeweka msisitizo kama Mwalimu)
Kwa kweli inashangaza…inaonesha waliamua kuomba KAMA KUJARIBU HIVI…au WALITEGEMEA MUNGU ATAMTOA PETRO KWA NJIA WANAZOJUA WAO…WALIJARIBU KUFIKIRIA KWA JINSI YA KIBINADAMU (Kama wewe unavyajaribu kumpangia Mungu namna ya kukusaidia au kushughulikia mahitaji yako; acha utoto, USIMWEKEE MUNGU WANGU MIPAKA; HE IS OMNISCIENT, OMNI PRESENT and OMNIPOTENT…Mawazo yake na njia zake ziko juu sana, na hazichunguziki: Isaya 55:8-11)

MUHIMU:
Unapoingia mbele za Mungu kuomba,
ukiwa na uhakika ya kuwa kile unachokiomba kiko sawa na Mapenzi ya Mungu (NENO
LAKE) uwe na uhakika ya kuwa Mungu amekusikia sekunde hiyohiyo, na kama
amekusikia, tayari unazo haja zote ulizomwomba (1Yohana 5:14-15)
Yesu alisema, “YEYOTE ATAKAYEUAMBIA MLIMA HUU NGOKA NA UJITOSE BAHARINI, WALA ASIONE SHAKA MOYONI MWAKE, BALI AAMINI YA KUWA YALE ALIYOSEMA YAMETUKIA [sio yatatukia bali yametukia] YATAKUWA YAKE” (Marko 11:23)
KUOMBA SI KAZI, KAZI NI KUPOKEA YALE UYAOMBAYO…ACHA KUOMBA, POKEA MAJIBU YA MAOMBI YAKO SASA!

Kwa karibu mwaka mmoja, mume wangu aliniacha mimi na watoto wetu wawili. Aliacha kujali, akaacha kupiga simu, na akaondoka kabisa. Nilikuwa nimevunjika moyo, nimechanganyikiwa, na karibu kupoteza tumaini. Kisha siku moja, rafiki yangu aliniambia kuhusu Dkt. Dawn, mtu wa kiroho aliyepewa kipawa na ulimwengu ili kuwasaidia watu kurejesha upendo na amani.
JibuFutaMwanzoni, nilikuwa na shaka, lakini kitu kuhusu maneno yake kilinipa amani. Aliniambia haswa kilichokuwa kibaya na kwamba mtu alikuwa ametupa uchawi mkali kututenganisha. Aliandaa kazi maalum ya kiroho na uchawi wa kuungana tena kwa ajili yangu - na ndani ya siku chache, mume wangu alinipigia simu ghafla, akilia na kuomba msamaha.
Tangu wakati huo, maisha yangu hayajawahi kuwa sawa. Ndoa yetu sasa ni tamu na yenye furaha zaidi duniani. Tunapendana zaidi kuliko hapo awali, na nyumba yetu imejaa vicheko na baraka.
Lakini sio hivyo tu - Dkt. Dawn pia alisaidia kuondoa bahati mbaya na nishati hasi iliyozunguka familia yetu. Tangu wakati huo, kila kitu kimekuwa laini: amani nyumbani kwetu, maendeleo ya kifedha, afya njema, na furaha safi.
Ninashukuru ulimwengu kila siku kwa kuniongoza kwa Dkt. Dawn. Kwa kweli ni mtu mwenye nguvu na mwanga wa kimungu. Ikiwa unapitia hali yoyote - huzuni, bahati mbaya, au kuchanganyikiwa - usikate tamaa. Mfikie na uache ulimwengu ufanye kazi kupitia yeye ili kubadilisha hadithi yako, kama vile alivyobadilisha yangu.
Wasiliana naye kwenye WhatsApp: +2349046229159
dawnacuna314@gmail.com