THAMANI YAKO HALISI
______________________

Akawaambia, Angalieni, jilindeni na choyo, maana uzima wa mtu haumo katika wingi wa vitu vyake alivyo navyo (Luka 12:15).
  
Baadhi ya watu hujitathmini au kujipima kulingana na kiasi cha fedha walichonacho. Hivyo, kila wakati, wanafanya mahesabu kupitia kikokotoa (kalukuleta) ili kujua thamani yao ya kifedha. Endapo thamani yako inategemeana na kiasi cha fedha, basi tambua ya kuwa unayaweka maisha yako katika hatari kubwa. Unawezaje kutegemea vitu visivyo tumainika na milele visivyo imara yaani thabiti kama mifumo ya kifedha ya ulimwengu huu kwa kutathminisha uthamani wa maisha yako?

Inaendelea ....

Share To:
Magpress

Calvin Petro

Kwa Moyo wangu wote nimekutafuta, Usiniache nipotee mbali na Maagizo yako. Moyoni mwangu nimeliweka Neno lako Nisije nikakutenda dhambi. (Zaburi 119:10-11).

Post A Comment:

0 comments so far,add yours